Powered by Blogger.

Tuesday, 23 December 2014

Habari njema nyingine kwa Vanessa Mdee na Diamond Platnumz kutokea Afrika Kusini

Posted by Unknown at 12:35 0 Comments



 




Time hii tunaungana na kituo cha Planet Radio Tv ambacho kinachoonekana Afrika kupitia huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake kwenye upande wa burudani hususani  muziki wa kizazi cha sasa, leo Dec 23 kilitoa list ya video za nyimbo bora za Afrika zinazotamba kwenye hii countdown zipo 20 zikiwemo za wasanii wawili kutokea hapa Tanzania Vanessa Mdee na Diamond ya kushirikishwa.






Tags:

Share This Post

Get Updates

Subscribe to our Mailing List. We'll never share your Email address.

0 comments:

Total Pageviews

back to top