Powered by Blogger.

Friday, 26 December 2014

MAMBO YA CHRISTMASS::JIONEE PICHA MUIGIZAJI PACHO ATEMBEZEWA KA MWIZI BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA BONDIA

Posted by Unknown at 07:49 0 Comments

Wakati wengine wakisheherekea sikukuu ya Christmass duniani kote ikiwa ni kumbukumbu kwa wakristo wote kuzaliwa kwa Mwokozi wao "YESU" Wengine siku hiyo wanaifanya kuwa siku ya starehe na kufanya mambo kinyume na maana ya siku yenyewe. Msanii wa filamu za bongo maarufu kwa jina la  Pancho Mwamba, anadaiwa kufanyiwa mbaya baada ya fumanizi siku ya Xmass. Msanii huyo inasemekana  amefumaniwa na mke ambaye si wake siku ya Christmass maeneo ya Kinondoni jijini hapa
Patcho Mwamba Lukusa ni muimbaji, Mtunzi, Composer, Music Arranger, Mchezaji, Mchekeshaji na ni  muigizaji wa cinema. Patcho amejitokeza kucheza vizuri katika tasmia nzima ya sinema huku
ajijizolea umaarufu kama mwanamuziki huyu toka kundi la FM Academia wana Ngwasuma ameweza kujizolea sifa kem kem toka kwa mashabiki wa Dollywood

Tags:

Share This Post

Get Updates

Subscribe to our Mailing List. We'll never share your Email address.

0 comments:

Total Pageviews

back to top