Nafasi ya muziki wa Diamond Platnumz imekua kubwa hasa kutokana na baadhi ya Collabo ambazo tumezisikia kuwa kwa sasa wasanii wa nje ndiyo wanaomuomba yeye afanye nao ni good news kutoka kwetu
December 23 Ikulu ya Tanzania imemkaribisha Diamond Platnumz kwenda kupokea shukrani baada ya kufanikiwa kuwakilisha taifa vizuri kwenye tuzo za Channel o zilizofanyika South Africa wiki chache zilizopita.
Diamond ni miongoni mwa wasanii ambao wamepata mualiko huo yeye pamoja na Mshindi wa Big Brother Africa 2014 Idris ambae nae alialikwa kwenda kuzungumza na Rais Jakaya Kikwete
Kwenye ujumbe ambao aaliutoa kwenye mtandao wa Instagram mshindi huyo Idris ameandika>>’I feel so honored after receiving a call from PRESIDENT’S Office asking me to meet him tomorrow,HELL YES AM COMING SIRE YESSSS,Even now

.jpg)


Facebook
Twitter
Google+
Rss Feed

0 comments: