Powered by Blogger.

Saturday, 20 December 2014

MAPENZI YA KWELI:JIONEE HABARI HII YA MWANAMKE ALIYETAKA KUZIKWA NA MBWA WAKE PINDI ATAKAPO FARIKI DUNIA!!!!....

Posted by Unknown at 15:22 0 Comments

20110425_German_Shepherd_Dog_8505

Kutokana na mapenzi makubwa aliyokuwa nayo kwa mbwa wake huyo, huenda aliona kama iwapo atatangulia kufariki mbwa wake hatopata upendo kama anaompatia yeye.
Akiwa hai aliomba kama ikitokea yeye akafariki kabla ya mbwa wake basi wazikwe pamoja.
Mwanamke huyo Connie Lay raia wa Indiana, Marekani aliyefariki siku chache zilizopita aliacha ombi hilo kwa rafiki zake, atakapokufa yeye na mbwa wake wazikwe pamoja, baada ya kufariki marafiki hao walituma ombi hilo kwa maafisa wanaoshughulikia haki za wanyama ambaowalipinga ombi hilo.
Mbwa huyo aliyepewa jina la Bella, Lay alitaka azikwe naye ambapo ombi hilo lilipingwa na watu wa haki za wanyama huku wengine wakitaka kujitolea kumlea mbwa huyo ili aepukane na adhabu hiyo ya kifo.

Tags:

Share This Post

Get Updates

Subscribe to our Mailing List. We'll never share your Email address.

0 comments:

Total Pageviews

back to top